Ukibeba QURAN shetani anaumwa kichwa,
Ukifungua QURAN shetani anaanguka,
Ukisoma QURAN shetani anazimia,
Tufanye bidii tusome QURAN kwa wingi tumuumize shetani, huwenda akapata stroke na asiweze kuinuka kabisa.. Inshallah biidhnillah..
Ramadhani kareem
No comments:
Post a Comment