Saturday, August 18, 2012

MUONEKANO WA MUM, KABLA YA TAMASHA LA ISLAMIC FOUNDATION







Huu ndio muonekano wa viwanja vya Chuo Kikuu cha waislamu Morogoro 'MUM' hii leo kabla ya tamasha la Eidil Fitri hapo kesho.

Tamasha hilo linalo andaliwa na taasisi ya Islamic Foundation (Wamiliki wa Radio na TV Iman) linataraji kufanyika katika viwanja hivyo baada ya kukosa uwanja wa Jamhuri Morogoro.

Aboodmsuni na timu yake nzima ina watika waislamu wote Iedil Mubbarak, na kwa wakazi wa Moro na mikoa ya jirani tukutani MUM hapo kesho inshaallah.

No comments:

Post a Comment