Sunday, August 19, 2012

ALLAHU AKBAR ZARINDIMA ASUBUHI YA LEO, WAISLAMU WAJITOKEZA




Waislam waliojitokeaza katika viwanja vya Islamic Foundation kwa ajili ya Swala ya Iedil Fitri



Imam akitoa Khutuba ya Eidil katika viwanja vya Islamic Foundation Morogoro


Imam akihutubiwa


Waislam wakisikiliza Khutuba

Aboodmsuni na Kapteni Jadiru
Tamko lililo rindima asubuhi ya leo ni Allahu Akbar, Allahu Akbar, Laillaha illah Allah Akbar katika kila kona ikiashiria kuhitimishwa kwa mwezi wa Ramadhan na kwa kusheherekea siku ya Iedil Fitr, ambapo kwa wakazi ya Morogoro teyari katika viwanja vya chuo cha waislam waumini wameanza kufika.

Leo waislam ulimwenguni wote wameswali swala ya Eidil Fitri, na kamera ya Aboodmsuni Network ilikuwa katika viwanja vya Islamic Foundation.

ABOODMSUNI NETWORK INAWATIKIA WAISLAMU WOTE IDDIL MUBARAKA, NA KAMA UKO MORO SOGEA MUM USHUHUDIA ABOODMSUNI AKISAKATA KAMBUMBU DHIDI YA WATANGAZAJI WA RADIO NA TV IMAAN

No comments:

Post a Comment