Sunday, August 19, 2012

WAISLAMU WAJITOKEZA KATIKA TAMASHA LA ISLAMIC FOUNDATION

Wanadada wakifika uwanjani

Wakina mam wakiwasili katika uwanja wa Chuo Cha Kiislamu Morogoro

Tiba asilia walikuwepo uwanjani

Watangazaji wa Radio Imani wakiwa uwanjani

Huduma ya Chakula ilipatikani katika chuo cha kiislamu hii leo

Mweendesha beiskeli ya mguu mmoja kabla ya kuanza kuonyesha bwebwe

Watu wa karate kabla ya kuwanza kuonyesha mambo yao, wakiwa wanajifua

Mcheza Karate


Kiongozi wa wacheza Karate

Wacheza Karate wakiwasili katika viwanja vya chuo cha waislamu Morogoro 'MUM'

Waislamu waliojitokeza katika viwanja vya chuo cha waislamu Morogoro 'MUM'


Waonyesha bwebwe za beisikeli nao wa;likuwemo katika kuwaburudisha waislamu walio jitokeza katika uwanja wa MUM

Mmoja ya wacheza shoo ya beiskeli

Meza kuu

Watoto wakibembea
Tamsha la Iedil Fitri lililoandaliwa na Islamic Foundation (wanao miliki TV na Radio Iman) imafanya katika viwanja vya chuo cha waislamu Morogoro 'MUM'.

Tamasha hilo lili udhuriwa na waislamu toka Morogoro na mikoa ya jirani Pwani na Dar es salaam na kurshwa moja kwa moja katika vituo vinavyo milikiwa na Taasisi hiyo inayo miliki shule ya msingi na secondary ya Darul Arqam Morogoro.

Katika Tamasha hilo kulikuwa na michezo mbalimbali kama kukimbiza kuku kwa watoto na vijana, mashindano ya baiskeli yenye matairi matatu na beiskeli ya kawaida, pamoja na mchezo wa soka, ambapo Aboodmsuni 'Abdallah Hamdun' alishiriki.

No comments:

Post a Comment