Habari zenu wadau wa Aboodmsuni Network, natumai wale waliopo katika mfungo wanaendelea vyema na mfungo huku wakiwa katika maandalizi ya Iedil Fitri.
Nikiwa njiani nikielekea Morogoro kwa shughuli ya usiku mwema, ambapo kesho nataraji kurejea jijini si vibaya leo ni kikupeni kibao 'Ngoma' ya washikaji zangu wa kitaa, wanao jiita 'Bigger Than Life (BTL)'.
Ngoma yenyewe hii hapa:

Check this out on Chirbit
No comments:
Post a Comment