BAADA YA WIKI MBILI BLOG YAKO YA SPORTS IN BONGO (aboodmsuni.blogspot.com) INAYO MILIKIWA NA ABOODMSUNI NETWORK HAITAKUWA HEWANI TENA IKIWA KATIKA HARAKATI YA ABOODMSUNI NETWORK KUPUNGUZA HUDUMA ZAKE.
KWASASA ABOODMSUNI NETWORK INASIMAMIA BLOG TATU AMBAZO NI ABOODMSUNI NETWORK, SPORTS IN BONGO, NA AZAM FANS CLUB AMBAPO BAADA YA KUITOA SPORTS IN BONGO ITABIKIWA NA BLOG MBILI.
ABOODMSUNI NETWORK WAMEFIKIA UWAMUZI HUO, BAADA YA KUBANWA NA SHUGHULI NYINGINE, HIVYO KUKOSA MDA WAKUSAKA TAARIFA KUHUSIANA NA MICHEZO NCHINI TANZANIA. KUTOKANA NA HILO ABOODMSUNI NETWORK WAMEONA KUTOENDELEA KUWEPO HEWANI WAKATI HATUNA UWEZO WA KUSAKA TAARIFA HIZO KUTOKANA NA KUBANWA.
ABOODMSUNI NETWORK INAWAOMBA MSAMAHA KWA USUMBSUFU WOWOTE ULE UTAKAO JITOKEZA KUTOKANA NA MASITISHO HAYO YATAKAYO KWENDA SAMBAMBA NA UBADILISHAJI WA LINK YA ABOODMSUNI NETWORK KWENDA KWENYE LINK ILIYO KUWA INATUMIWA NA SPORTS IN BONGO, KATIKA MWEZI WA KUMI MWAKA HUU.
IMETOLELA NA ABDALLAH H.I SULAYMAN (Aboodmsuni)
MMILIKI WA ABOODMSUNI NETWORK

No comments:
Post a Comment