ASSALAM ALAIKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUHNi wajibu kwa kila mmoja kumpa mwenzake nasaha njema.Na apewae nasaha ni wajibu wake kukubali bila ya kupinga, kwani kuzifuata ndio muongozo wa maisha yetu.· Tuhifadhi ndimi zetu na maneno machafu.· Kama hatuna la kusema basi tunyamaze kimya.· Neno tulifikirie kabla hatujalitamka mbele za watu.· Tujiepushe sana na kusema uwongo.· Sema ukweli katika kila jambo lako.· Usiseme uwongo hata katika maskhara.· Jiepushe sana na vikao vya wasemaji uwongo.· Kumbuka kwamba kusema kweli ni kinga hata mbele ya adui yako.· Ikumbukeni adhabu kali ya wasemaji uwongo.· Epukana sana na maneno yatakayo kukaribishia na kitendo cha zinaa.· Mtaje Mwenyezi Mungu unapohisi fitina itakuzonga.· Tumia ulimi wako sana katika kumuomba Mwenyezi Mungu kwa dua za kila aina.· Wacha kuwasema watu kwa ubaya.· Epukana na vikao vinavyowasema watu na vichekesho visivyo na maana.· Epukana sana kuyachukuwa maneno ya huyu kuyapeleka kwa yule kwa kusudi yakuwagombanisha na wala usifuate siri za watu zisizokuhusu.· Wacha kuuliza sana mambo yasiyokuhusu.· Usijibu suala kama hulijui jawabu.· Usibahatishe kujibu katika sheria za ALLAH kama hujuwi hukumu yake.· Usione aibu kusema hujuwi utakapoulizwa.· Epukana sana na kuwafanyia watu maskhara.· Wacha kuwacheka watu waliokuwa vilema.· Usiwafanyie mzaha waumini.· Waheshimu Mashekhe na watu wote kwa jumla.· Jiheshimu utahishimiwa.· Kuwa na subira utakapochekwa na wengine.· Usichoke kutowa nasaha njema kwa kila aliyepotea katika njia iliyo sahihi.· Utumie ulimi wako kwa njia yenye kheri ili kupata malipo mema Duniani na Akhera.· Kila muislamu amuombee muislamu mwenzanke dua nzuri ili tuoneshe mapenzi baina yetu.Hizi ni nasaha ambazo Muislamu huweza kumpa ndugu yake. Ndugu zangu waislamu musichoke kutowa nasaha njema, kwani huwenda neno moja likaleta athari na faida kubwa katika sikio la msikilizaji na akanufaika na nasaha hiyo.Kila mmoja wetu awe ni mfano mzuri kwa ndugu yake, tuwache maradhi mabaya ya kuchukiana na kusemana na kuoneana choyo. Imepekuliwa kwa IBRAHIM ndani ya FB
Thursday, September 27, 2012
KUTOKA FB: NASSAHA KUHUSIANA NA NDIMI

No comments:
Post a Comment