Kwa mda mchache Aboodmsuni alioupata kuwepo Morogoro alipata nafasi ya kucheza mpira katika timu ya Cosovo (11 boy) iliyopo Kihonda karibu na Chuo cha Waislamu Morogoro. Akiwa katika timu hiyo amepata kucheza na wachezaji ambao Jumatatu ya Oktoba 8 ni miongoni mwa wanafunzi wanaotaraji kumaliza elimu yao ya sekondari kwa kuandika mitihani ya Taifa kidato cha 4. Aboodmsuni Network inawatakia wachezaji hao na watahiniwa wengine nchi nzima wa kidato cha nne mitihani mema
No comments:
Post a Comment