Na Swaum Khalfan, Facebook: Jamaa alimchukua paka wake na kwenda kumtupa mbali aliporudi akakuta paka amesharudi, akakasirika sana. Siku ya pili akamchukua na kwenda nae zaidi ya kil0mita 50 akaenda m0ja kwa m0ja alafu akakata kulia alafu kushoto akanyo0sha alafu kushoto tena alafu kulia kisha akamtupa, Alipokuwa njiani kurudi nyumbani akampigia simu mke wake; Jamaa: mke wangu vipi huyo paka yupo hapo? Mkewe:yupo hapa katulia, kwani imekuwaje? Jamaa: aagh! ebu mpe simu anielekeze amerudi na njia gani mie nishapotea huku.
No comments:
Post a Comment