SABABU ZIFUATAZO HUCHANGIA KUVUNJIKA KWA NDOA ZETUU,,,, 1-KUJIFANYA WAJUAJI WA KILA KITU KWA WENZA WETU 2-KUJALI MARAFIKI KULIKO MWENZA WAKO WA NDANI 3-KUTAKA MATUMIZI MAKUBWA KULIKO UWEZO, 4-UONGO KWENYE NDOA,, 5-KUJIONA UKO SAWA NA MWENZI WAKO KISA TUU MNALALA KITANDA KIMOJA,, 6-KUSAHAU WAJIBU WA MMOJA WAPO KTK NDOA,, 7-KUOANA KWA SABABU FULANI,,,MF::PESA, UMAARUFU, KUFULIWA NA KUPIKIWA, MIMBA ZISIZOTARAJIWA 8-MANENO YA WATU KUYABEBA BILA UCHUNGUZI,, 9-SIMU, FB, TWITTER, WHATSAPP N.K,,,, 10-TAMAA YA MACHO,,,,, MWISHO WA NUKUU, KWA BAHATI MBAYA LINK NIMEIPOTEZA
No comments:
Post a Comment