Monday, October 15, 2012

Mateja wa Mwenge wa mliza Msuni, SIB kusimama

Msuni akiwa uwanja hapo jana
Wikiiend ilikuwa mbaya kwa mmiliki wa Aboodmsuni Network baada ya kulizwa na Mateja wa Mwenge hapo jumamosi na jumapili kushuhudia Al-Maktoum wakipokea kichapo toka kwa wanafunzi wa kidato cha pili na cha kwanza wa Ununio Boys.

Abdallah Hamdun 'Msuni' aliibiwa simu yake siku ya jumamosi asubuhi mishale ya saa 3 Mwenge standi ya mabasi akiwa napanda daladala ambapo mda huo yalikuwa ya kugombania.

Simu hiyo ndicho kifaa pekee kilicho kuwa kiimebaki katika offisi za Aboodmsuni Network kwa ajiili ya kupachika taarifa katika blogs zinazosimamiwa na Aboodmsuni Network ambazo ni Sports In Bongo (SIB) na Azam Fnns Club, baada ya Laptop yake kufa motherbody na Desktop kufa CPU.

Kutokana na hali hiyo Aboodmsuni Network ina wwarifu wafuatiliaji wa blog hizo ya kwamba hatuta kuwa na taarifa mpya kwa kipindi hiki chote cha kutafuta kifaa kipya kwa ajili ya kurushia taarifa.

Tunaomba mtuwie radhi kwa kipindi chote hiki, cha kutokuwa hewani.

No comments:

Post a Comment