ABOODMSUNI NETWORK inawataarifa wadu wake kuwa haitakuwa na huduma ya online ambayo inahusisha utoaji wa taarifa katika blog za AZAM FANS CLUB na SPORTS IN BONGO, pamoja na live update toka katika viwanja vinavyochezwa ligi kuu ya vodacom katika ukurasa wa Facebook wa Aboodmsuni Network.
Hiyo inakuja baada ya kushindikana kufufua simu aina ya Hp Voice messenger iliyozunguka kwa mafundi mbalimbali jijini Dar es salaam bila mafanikio.
Hatua ya kufua simu hiyo iliyokufa system yake ya network ilikuja baada ya mother body ya PC kufa pamoja na kupokwa simu tuliyo kuwa tunaitumia katika live update mitaa ya mwenge.
ABOODMSUNI NETWORK inataraji kurejesha huduma zake za online mapema december mwaka huu, baada ya kununua mother body mpya.
Imetolewa na Abdallah Hamdun Ibrahim Sulayman
Mmiliki pekee wa Aboodmsuni Network
aamsuni

No comments:
Post a Comment