Radio na Tv Imaan Inakualika katika tamasha kubwa la kipekee kufanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.Katika Uwanja wa Taifa jijini Dar-es-salaam siku ya eid mosi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni.
Patakuwa na michezo mbali mbali kama vile mashindano ya baiskeli za miguu miwili na mitatu,kuvuta kamba,kukimbiza kuku,bembeya kwa watoto na wakubwa,maonyesho ya karate,kuganda kwa baiskeli,maonyesho ya pikipiki,kupeleka farasi,ngamia punda,juu ya yote ni siku ya kula na kunywa njoo upata burudani la kukata na shoka siku hiyo wewe na familia yako katika misingi ya dini.....Kosa ujilaumu
No comments:
Post a Comment