Tuesday, October 9, 2012

TUFUNGE SIKU NA HII TOKA FB

Na Abducado Emmanuel, Facebook:

Sikia hii kali ya mwaka: wanafunz walikua kwenye mitihani yao ya taifa wanapiga pepa la hesabu ghafla jamaa akatoka kwenye desk akakaa chini.

Watu wote wakashangaa ikabidi msimamizi amuulze we vipi mbona umekaa chini jamaa akajibu hapa swali la tisa linasema solve without using a table.

No comments:

Post a Comment