Msuni akiwa katika kiwanja cha MUM |
Msuni anapenda kuwaarifu wadau wake kuwa hizo taarifa ni za kweli na Mungu akijaalia mnamo december 21 mwaka huu anataraji kuoa, ambapo ndoa itafungwa kufungwa Kihonda mjini Morogoro.
Msuni ambaye pia ni mwanafunzi wa Al-Maktoum College of Engineering and Technology anapenda kuwaarifu wadau wake kuwa hakuto kuwa na kuchngidhana mchango wa aina yoyote ile na wala hakutokuwa na utowaji wa kadi.
Hivyo tunawaomba watuvumilie wale wadau walio kuwa wanaomba uwepo wa toaji kadi kwa kutokuwepo kwa kitu hicho.
Muda wa ndoa ni baada ya swala ya ijumaa katika msikiti wa chuo cha kiislamu Morogoro 'MUM' na kama kutakuwa na mabadiliko tuta juzaana katika jaroda letu hili.
Nyote Mnaakaribishwa.
0 comments