Fundi Umeme Jadiru akiwa na MSuni |
Msuni ambaye ndie mmiliki atakuwa Morogoro kuanzaia ijumaa na juma pili asubuhi atakuwa nageuza jijini Dar es salaam, mkuendeleza gurudumu la Aboodmsuni Network na masomo yake katika Collehe3 ya Al-Maktoum kilichopo Mbezi mwisjo.
Akiwa Morogoro atakuwa na wasaa kisikiliza matatizo mbalimbali ya wadau katika Compiter zao na kuwatatulia, hivyo basi ni wakati wa kuondoa machine yako kwenye kabati kwa ajili ya kureheshewa uhai.
Unaweza mpata Msuni katika mwasiliano yake yake ambayo ni kupitia namba 0657184421, naatakuwa anapatikana katika kota za chuo cha kiislamu Morogoro siku hiyo ya jumamosi.
Wakazi wa Morogoro walio mtabilia Msuni kuwa fundi kabla ya kwenda kuisomea Computer ni wakati wenu kupata huduma hiyo, kwa siku hiyo.
Wasiliana nasi, nasi tutakufuata
0 comments