Wednesday, December 5, 2012

ABOODMSUNI NETWORK yasitisha hufuma

ABOODMSUNI NETWORK inapenda kuwaarifu wateja wake kuwa tunasitisha utoasji wa huduma kwa mda wa siku 22 kuanzia leo, ambapo wanataraji krejea baada ya X-masi desember 27 mwaka huu.

Usitishwaji wa huduma zake unatokana na kubanwa kwa mmiliki na mfanyakazi pekee wa 'AN' Abdallah Hamduni Sulayman, ambapo atakuwa kweenye tedti za chuoni huku kukienda sambamba na ndoa yake inayotarajiwa kufungwa desember 21.

Hivyo basi tunasitisha huduma zote kwa kipindi hicho cha siku 22, na baada ya hapo zitarejea kama ada isipokuwa huduma ya Online ambasyo imesimama kwa miezo mwezi mmoj mpaka sasa na inataraji kurejea katikati ya januwari mwakani.

Tunaomba mtuwie radhi kwa usumbufu utakao jitokeza

imetolrwa na Abdallah Hamdun Ibrahim Sulayman 'Aboodmsuni'
Mmiliki wa ABOODMSUNI NETWORK
+255 657 184 421
ABOODMSUNI@GMAIL.COM

0 comments