Wednesday, December 5, 2012

Mabadiliko kuelekea kumsindikiza Msuni katika nusu ya Dini

Msuni akiwa katika moja ya viwanja vya Mpira jijini Dar es salaam
Msikiti wa chuo cha waislamu Morogoro 'MUM' hakutokuwa mahali pakufungia ndoa ya blogger wa Sports In Bongo na mmiliki wa Aboodmsuni Netwotk, Abdallah Hamdun Ibrahim Sulayman 'Msuni' ba Bashira Rashid, badala yake itafungwa katika nyumba ya mjomba wake ilioko upande wa pili wa chuo hicho cha kiislamu.

Mabadiliko hayo yanakwenda sambamba na mabadiliko yas mdaa wa ndoa ambapo iyakuwa kabla ya swala ya ijumaa saa tano asubuhi. ma baada ya swala taratibu zitaamia nyumbani kwa Dr. Hamdun, ambayo inapatikana ndani ya chuo cha kiislamu Morogoro.

0 comments