Monday, January 28, 2013

KURASA ZA SIB KUTOUPDATIWA

Kurasa zilizopo katika blog zinazosimamiwa na ABOODMSUNH BLOGS kutakuwa na uchelewaji ama kutokuwepo kwa update.

Blog ambazo zitaadhirika ni SPORT IN BONGO  katika kurasa ya msimamo wa ligi na ile ya ratiba pamoja na blog ya AZAM FANS CLUB katika kurasa ya livesbore & ratiba.

Kukosekana kwa update katika kurasa hizo ni kutokana na upotevu wa vifaa ulio ikumba Aboodmsuni Network mwishoni mwa mwaka jana na kupelekea kusimama kwa huduma za ABOODMSUNI BLOGS na sasa kifaa tunacho kitumia katika kuweka taarifa katika blog hizo hakina uwezo wa ktfanya update katika kurasa.

Tunaomba msamaha kwa usumbufu utakao jitokeza



--
ABDALLAH HAMDUN IBRAHIM SULAYMAN
 ABOODMSUNI NETWORK (
THE HOME OF COMPUTER MAINTENANCE AND REPAIR)
P.O Box 33132 Dar es salaam
+255-657-184-421

0 comments