Wednesday, January 2, 2013

R.I.P SAJUKI

Msanii wa filamu nchini aliyekuwa anaugua kwa mda mrefu sasa Sajuki leo amefariki, akiwa katika hospitali ya Muhimbili.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika kipindi cha power breakfast cha clouds fm mwishoni mwa kipengele cha kuperuzi na kudadisi Sajuki amefariki asubuhi hii.

0 comments