Wednesday, February 27, 2013

KESHO NDIO MWISHO WA OFA YA MCS

Msuni Computer Solution (MCS) ilitoa ofa ya kukarabati computer bure katika mwezi huu wa pili unaomalizika hapo kesho kwa wakazi wa Dar es salaam ikiwa ni kutimiza kwa miaka miwili kwa ABOODMSUNI NETWORK toka ianze february 21 mwaka 2011.

MCS ni kitengo kilichopo chini ya ABOODMSUNI NETWORK yenye vitengo viwili ambacho kingine ni ABOODMSUNI BLOGS kinacho shughulikia ama kusimamia shuguli za kimtandao za ABOODMSUNI NETWORK.

Kesho ifikapo saa 12 jioni huduma zote za MCS zitaendelewa kufanyika kwa malipo kwa wale watakao hitaji huduma zetu za kukurejeshea uhai laptop ama desktop yako.

Bei zetu ni zilezile ambazo zinaendana na ukubwa au ugumu wa kazi husika na hazimuumizi mteja.



--
Abdalah Hamdun Ibrahim Sulayman
C.O ABOODMSUNI NETWORK
+255 657 184 421
aboodmsuni@yahoo.com

No comments:

Post a Comment