Sunday, February 17, 2013

PEMBA TUMEKUFIKIENI TUTAKUWEPO KWA WIKI 3

Computer technician (fundi computer) wa Msuni Computer solution Habib Khamisi anataraji kuwepo katika kisiwa cha Pemba kuanzia february 21 mpaka machi 15.

Habibi anataraji kutoka jijini Dar es salaam kesho jumatatu na kufiki kisiwani Unguja kabla ya al hamisi kuanza safari ya kuelekea Pemba ambapo atakuwa anaendeleza gurudumu la kutoa huduma ya ukarabati, na matengeoezo ya computer.

Ni fursa sasa kwa wakazi wa Pemba na viongoji vyake kutoa computer zao, laptop katika makabati.

Mawasiliano atakayo kuwa anatumia akiwa visiwani humo ni 0657148283

NB: Huduma hazito tolewa bure kwa kuwa ofa ya bure ni kwa wakazi wa Dar es salaam

Nyote mnakaribishwa kwa huduma bora ya ujarabati wa computer.

No comments:

Post a Comment