Sunday, March 10, 2013

BLOG MPYA YA AN

ABOODMSUNI NETWORK (AN) imefungua blog mpya ambayo inazungumza masuala mbalimbali yanayojiri kati jamii ambayo inakwenda kwa jina la TEMBEZI ZA MSUNI anuani yake ikiwa www.amsuni.blogspot.com

TEMBEZI ZA MSUNI ina beba taarifa zote zilizo kuwa zinabebwa na ABOODMSUNI NETWORK kabla ya kupewa jukumu la kutoa taarifa zinazo husiana na AN pekee.

Ndani ya TEMBEZI ZA MSUNI utakutana na tafakari mbalimbali anazokutana nazo mmiliki wa AN, Abdallah H.I Sulayman 'Msuni' sambamba na taarifa muhimu.


--
Abdalah Hamdun Ibrahim Sulayman
C.O ABOODMSUNI NETWORK
+255 657 184 421
aboodmsuni@yahoo.com

No comments:

Post a Comment