Monday, March 11, 2013

WIKI YA MWISHO KWA MCS NDANI YA PEMBA

Wiki hii inaangaliwa kuwa wiki ya mwisho kwa Msuni Computer Solution 'MCS' katika visiwa vya Pemba na Unguja, kufuatia fundi wa computer (computer technician) wa MCS Habib Khamis kumaliza likizo yake.

Habib anatarajia kurejea jijini Dar es salaam akitokea kwao Pemba mwishoni mwajuma hili akiwa teyari kuendelea na kurudumu ya MCS pamoja na kuongeza ujuzi katika tasnia ya computer katika chuo cha Al maktoum kilichopo Mbezi beach.

Kwa wale walio tuagiza laptop wasiwe na mashaka mzigo wao wataupata kama walivyo kubaliana na mwakilishi wa MCS.


Wakati huo huo shughuli za MCS zimerejea katika siku za jumamosi na jvmapili huku katika siku za kazi zikiwa zikianza saa 11 jioni hadi saa 2 usiku.


--
MSUNI COMPUTER SOLUTION
NDIO SULUHISHO LA TATIZO YA COMPUTER YAKO
+255-657-148-283 (Habib)
+255-657-184-421 (Msuni)
www.aboodmsuni21.blogspot.com

No comments:

Post a Comment