Monday, March 18, 2013

HABIB ASHAREJEA BONGO

Fundi wa computer (computer technician) wa Msuni Computer Solution Habib Khamisi amerejea jana jijini Dar es salaam akitokea kisiwani Pemba alipokwenda kwa ajili ya likizo.

Habib aliyebobea kwenye utatuzi wa matatizo ya laptop na pia ni mwanafunzi anaesaka diploma yake ya IT (Information Technology) katika college ya Al-maktoum alikuwa Pemba kwa mda wa wiki tatu na sara amerejea akiwa teyari kutoa huduma ya ukarabati wa computer na mwendelezo wa gurudumu la kusaka diploma.

Urejeo wa Habib unaashiria mwisho wa huduma zetu katika kisiwa cha Pemba kwa sasa.


--
MSUNI COMPUTER SOLUTION
NDIO SULUHISHO LA TATIZO YA COMPUTER YAKO
+255-657-148-283 (Habib)
+255-657-184-421 (Msuni)
www.aboodmsuni21.blogspot.com

No comments:

Post a Comment