Thursday, April 18, 2013

SPORTS IN BONGO IMEBADILISHWA LINK YAKE

Wapenzi wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu ya michezo ya hapa nyumbani Sports In Bongo sasa inapatikana katika link www.sportmsuni.blogspot.com badala ya link ya aboodmsuni.blogsport.com.

Mabadiliko hayo yanatokana na matatizo tuliyoyapata katika siku za hivi karibuni na kubakiwa na suluhisho moja la kubadili link yake.

Kwa mara nyingine tena naomba wadau wetu wa Blogs Za Msuni mtusamehe kwa usumbufu uliojitokeza na unaoendelea kujitokeza kutokana na mabadiliko hayo ya link.

Vile vile tunapenda kuwaomba msamaha wadau wote wa ABOODMSUNI NETWORK kwa kutokuwepo kwa huduma zetu katika kipindi hiki cha wiki moja kilichopita.

Ni matumaini yetu hivi karibuni tutarejea katika hali yetu ya kawaida na kuwa mwanzo wa projecti zetu mpya na miboresho katika projecti zetu zilizopita kwa manufaa ya wadau wetu.


MTAJI WA MASIKINI NI KILE ALICHO KUWA NACHO

No comments:

Post a Comment