(pichani hapo juu Msuni akiwa kwa mama yake mdogo baada ya taarifa ya msiba kufika)
Jana kukiwa na michezo michezo 5 ya ligi kuu ya vodacom katika mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Mwanza na Kagera na kupelekea wadau kutafuta matokeo katika kurasa hizo tajwa hapo juu zinazosimamiwa na ABOODMSUNI BLOGS bila mafanikio.
Juzi ijumaa anaesimamia shughuli za live update Abdallah H.I Sulayman 'Msuni' alielekea maeneo ya Madala kwa mama mdogo wake ambapo akiwa huko alipata taarifa ya msiba wa baba wa mama mdogo wa Msuni na kupelekea kushindwa kurejea nyumbani kwake kwa siku hiyo.
Msuni aliishiwa na moto katika simu yake akiwa huko Madala na kupelekea simu kuzimika na kushindwa kuwa unganisha wa wakilishi wetu katika mikoa mbalimbali, hivyo kushindwa kuleta liveupdate.
Msuni akutarajia kutoka Madala siku ya jana (jumamosi) jioni, badala yake alitaraji kurejea siku ile ile (ijumaa) aliyokwenda Madala, hivyo hakujiandaa kwa ajili ya kulala huko, ila msiba uliotokea ukapelekea kulala huko kwa mama yake mdogo.
Tuna waomba radhi mashabiki na wadau wa kurasa hizo kwa kushindwa kuwa live toka katika viwanja mbalimbali.
--
Abdalah Hamdun Ibrahim Sulayman
C.O ABOODMSUNI NETWORK
+255 657 184 421
aboodmsuni@yahoo.com
No comments:
Post a Comment