[pichani ni fundi wa computer Habib Khamisi anae iwakilisha Msuni Computer Solution ndani ya RAHASO IT SOLUTION]
RAHASO IT SOLUTION wanafanya kazi zinazofanywa na Msuni Computer Solution ambazo ni kurekebisha computer 'Computer repair and Maintance', kurejesha data zilizopotea 'Data recovery' na kufunga network 'Local area Network'.
Aboodmsuni Network imekubalia kuingia katika ushirikiano huo ili kuongeza ufanisi wake katika kipengele cha Msuni Computer Solution.
Imetolewa na: ABDALLAH H.I SULAYMAN
C.O: Aboodmsuni Network
No comments:
Post a Comment