Mwandishi wa Blog za Msuni na mmiliki wa Aboodmsuni Network, Abdallah H.I Sulayman 'Msuni' ameingia makubaliano ya kuwa miongoni mwa wahabarishaji wa tovuti ya Kandanda inayo jihusisha na utoaji taarifa za mpira wa miguu za hapa nchini Tanzania na kwingineko ulimwenguni.
Kuingia kwa msuni katika tovuti ya kandanda iliyoanza kazi mwaka 2011 haina maana ndio mwisho wa Sports In Bongo, bali blog yetu hiyo itaendelea kuwepo bila kuadhiri shughuli za Msuni katika tovuti hiyo ya Kandanda.

No comments:
Post a Comment