Ni fursa nyingine wakazi wa Morogoro wanaipata ya kupata huduma za Msuni Computer Solution 'MCS' pale Abdallah H.I Sulayman 'Msuni' atakapo kuwa mkoani humo kwa mda wa wiki moja.
Msuni ambaye ni fundi wa Computer wa MCS anatarajia kwenda Morogoro julai 13 na atakuwa huko mpaka julai 20 kabla ya kurejea jijini Dar es salaam kuendeleza gurudumu la Msuni Computer Solution.
Wakati MCS ikiwa mkoani Morogoro na kupelekea shughuri zake kusimama jijini Dar es salaam, washirika wake RAHASO IT Solution wao wataendeleza utoaji wa huduma jijini Dar es salaam, kama kawaida.
Msuni Computer Solution 'MCS' inawakaribisha wakazi wa Morogoro mjini wapate huduma zetu ambazo ni Modem unlocker (ku unlock modem), kuinstall software katika computer na kutengeneza ama kukarabati computer.
Mkazi wa Morogoro unasababu ya kuifungia copmuter yako kwenye kabati wakati uwezekano wa kufanya ifanye kazi tena upo.
Mawasiliano yetu ni yale yale tukiwa pale Morogoro ambayo ni 065 718 4421.

No comments:
Post a Comment