Saturday, June 1, 2013

MCS WAREJESHA HUDUMA YA MODEM UNLOCK

Msuni Computer Solution 'MCS'imerejesha huduma ya ku unlock USB modem (kuflash modem) za aina mbalimbali.

Msuni Computer Solution ni miongoni mwa sekta za Aboodmsuni Network ikiwa inajisughulisha na masuala ya ukarabati wa Computer na utoaji wa mafyunzo ya Computer.

No comments:

Post a Comment