Wednesday, April 30, 2014

SULUHISHO: PC KUJIZIMA NA KUJIWASHA BAADA YA KUWEKA LOADER

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_yuJcqvAO0K-D9MTi9C5YIjJ9KmaFsGqoXKZ0oh41W5MRN0VxixXZk9Uk9jiWcW5Qkt291CWrYqdYk4AVx6nn11Rs9_LjJ4YB1_2B4wvRj2SC_jLljLhtrKsRtkG5k8rySamHSn-qAf0/s1600/windows+7+loader.png
Je ushawahi kuwasha computer ama Laptop ikawaka na kushindwa kuisaka operating system yako (window 7) na badala yakeikaendelea kujizima na kujiwasha?

Mara nyingi tatizo hili hutokea pale PC inaposhindwa kuchaguwa itumie window goni kuwasha PC yako na hushindwa kukuletea chaguzi ili uchaguwe unataka utuime window gani.

Tatizo hilo hujitokeza sana sana kwenye window 7 pale unapo kuwa unainstall window Loader ama Activator na wakati ikijiristart ndipo tatizo hilo hujitokeza.

Nini chakufanya:

1. Bonyeza key "CTR, SHIFT na ESC" kwa wakati mmoja (i.e  CTRL+SHIFT+ESC ) wakati PC inapo anza kuwaka.
2. Utapewa Chaguzi ya kuchaguwa ufunguwe PC yako kwa kutumia aina gani ya Window 7, unatakiwa uchaguwe "Window 7 without loader"
3. Baada ya PC yako kuwaka nenda uitowe hiyo loader (uninstall)




No comments:

Post a Comment