Watumiaji wa mtandao wa kijamii facebook duniani wametakiwa kuwa makini
na tangazo linalowataka kubadilisha rangi ya profile za facebook zao
kwani tangazo hilo ni virus.
Mpaka sasa watumia zaidi 10,000 wameshathirika na virus huyo, virus huyo aliwai kutoke hapo awali na akashughulikiwa na mtandao wa facebook lakini mara hii amekuja kivyengine.
Virus huyo huanza kwa mundo wa tangazo la applicaton (app) ambayo
linamwambia mtumia facebook kuwa anaweza kubadilisha rangi ya theme ya
profile yake, anapofungua kiunganishi hicho humtaka mtumiaji huyo
kudownload app hiyo, na anapofanya hivyo hupelekwe moja kwa moja katika
mitandao feki ijulikano ama malicious phishing site.
Mtumiaj
wa facebook anapokamilisha hatua hizo anakuwa hatari kwani wezi wa
mitandao wanaweza kuifikia password yake facebook na kuwa rahisi
kuhujumiwa kupitia anuani yake ya facebook.
No comments:
Post a Comment