Friday, October 3, 2014

DAKIKA 90 YAREJESHWA NDANI YA SPORTS IN BONGO

Mwishoni mwajuma lililopita tiluapta hitirafu katika ukurasa wetu mpya wa www.amsuni.host56.com na kutoa ahadi ya kuurejesha katika hali yake yakwaida kabla ya michezo inayofuata ya ligi kuu ya vodacom ambapo ni kesho.

Tunapenda kukutaarifuni kuwa tumeshindwa kuurejesha ukurasa huo ila shughuli zake zote zimerejeshwa katika blog yetu ya Sports In Bongo na ile ya Chama Langu Ni Azam FC, ambapo kila kilichokuwa kinapatikana katika ukurasa huo sasa kitapatikana katika blog zetu hizo.

www.amsuni.host56.com ilikuwa inashughulika na live score, ratiba na msimamo wa ligi ambapo kwa sasa vitakuwa vinapatikana katika kurasa zilizopo katika blog zetu tulizotaja hapo juu.

Imetilewa na Abdallah H.I Sulayman (Msuni)
Msimazi wa Blog Za Msuni

No comments:

Post a Comment