Leo tumekumbana na tatizo la kukatika ukurasa wetu wa SIB Dakiika 90 (www.amsuni.host56.com) wakati michezo ya ligi kuu ya vodacom ikiendelea ambapo tulikuwa tunatoa matokeo ya mchezo kati ya Yanga na Tanzania Prisons na ule wa JKT Ruvu dhidi ya Kagera Sugar kupitia ukurasa huo.
Kukatika kwa ukuras huo umepelekea kusimama kwa huduma ya SIB Dakika 90 ambayo ilikuwa inatoa matokeo, ratiba na msimamo wa ligi za hapa Tanzania na nnje ya Tanzania.
Nimatarajio yetu kabla ya michezo mingine ya ligi kuu ya vodacom kuchezwa mwishoni mwa juma tutakuwa tumesharejesha huduma hii ya SIB Dakika 90.
Tunaomba mtuwie radhi wadau wetu wakati wote huu ambao tunaangaika kulitafutia ufumbuzi tatizo lililojitokeza.
Endelea kufuatilia blog zetu kwa taarifa mbalimbali.
Imetolewa na Abdallah H.I Sulayman
Mmiliki wa Aboodmsuni Network

No comments:
Post a Comment