Kwa taarifa iliyoifikia chumba cha Habari cha Aboodmsuni, kunaajali mbaya imetokea katika eneo la mikese basi la Al Saedy imegongana uso kwa uso na Fuso.
Ripoti toka kwa rafiki Semeni Nyerere ndani ya facebook amepachika hii habari akisema "Mungu wangu Ajali mbaya hapa mikese Fuşö head to head na Basi la ALSAEDY ya dar-moro, basi chakali na fuso halitamaniki.....kuna nini mwaka huu?" mwisho wa kunukuu



0 comments