Tuesday, November 8, 2011

Wiki ya pepa

Habari za wikiend na Iddi wapendwa wasomaji na wafuatiliaji wa Aboodmsuni. Kwangu wiki ndiyo imeanza leo na wiki hii ni wiki ya kujiandaa na pepa la semister, ambapo kutaadhiri kwa kiasi fulani mitandao ya Aboodmsuni kwa wiki hizi tatu.

Napenda kuwashukuru wote mlio toa maoni yenu juu ya mitandao ya Aboodmsuni ambapo 66.67% walisema unaridhisha, 16.67% walisema ni wastani na 16.66% walisema ni mbaya, huku kukiwa na hakuna aliyesema unachefua. Hayo ni matokeo ya jumla yaliyopigiwa kura katika Aboodmsuni Na Soka La Bongo na katika Aboodmsuni Home

Katika uboreshaji wa Aboodmsuni Na Soka La Bongo video ambazo zilikuwa zina tokea pembeni sasa ziko kwenye page katika 'VIDEO' ambayo inapatikana katika tab ya juu, huku 'DAKIKA 90' ikiwa inabeba matokeo ya moja kwa moja yanayojiri katika viwanja mbalimbali ulimwenguni.

0 comments