Monday, April 9, 2012

Ndege ya ATC yapata ajali

Taarifa ilizo ifikia mtandao huu ni kwamba ndege ya Shirika la Tanzania (ATC) imepata ajali ikiwa inataka kuruka kutoka katika uwanja wa ndege wa Kigoma kuelekea Mwanza.

Mpaka sasa hatuna taarifa za majeruhi wali vifo kwenye ajali hiyo kwasasa

No comments:

Post a Comment