Friday, September 28, 2012

KUTOKA FB: MDAU AHOJI UMRI WA WEMA

Mdau Taiya Odero anahoji ndani ya Facebook kwa kuandika "SINA CHUKI BINAFSI ILA HILI NI SWALI TUU dada yetu WEMA SEPETU alishiriki umiss 2006 akiwa na miaka 18,,,kinachonis hangaza ni kuwa leo b.day yake anafikisha miaka 22,,,au mimi ndio sijui hesabu,,,au aliyeandika kakosea??????"

Baadhi ya wadau walivyoipokea post hii:

Abdallah Mnyasi: Haujui km kibongo bongo wizy m2pu?

Rh Josh: mmesahau kuwa yy ni msanii...jaman amezoea kuigza hadi maisha yake yamekua maigzo..wadau.

Shoo James Godson:
hahahahahaha kwl inafurahisha.

Calvin Mayor Mitti: She's 24...typing error@taiya

Goodluck Peres: Mambo ya jikoni kudscus ya wa wa2.wema yupo ungemuulza cyo kustatus usnitch..una2ja zia ujinga tuu..napenda status zako ila leo umezngua...@ode ra

Floryan Jr Philybert: analilia udogo kama kuzeeka atazeeka 2

Floryan Jr Philybert:
wema anasiri kwan unaxema nn ww@gudluck

King Gerryson: Goodluck hajasnitch ni kama swal if kna anaejua ajib...asa kama ndo uhalisia mtu asiongee jaman??? Me mwenyewe nmeona kua anatimiza 22 badala a 24...

Eras Rweyemamu: anayesherehekea naye atakuwa naye mwendawazimu wema atakua na 26 yule zile zote zilikuwa mbwembwe na unaweza fuatilia ukagundua alizaliwa hata march.. Sa kaona ngoja auze news


Link yake imepotea hewani

No comments:

Post a Comment