Sports In Bongo imeripotiwa kama spam katika facebook kitendo ambacho kinapelekea msomaji wowote wa Sports In Bongo kushindwa kushare kitu chochote kinacho toka kwa Sports In Bongo. Aboodmsuni Network ilishtushwa kwa kuto onekana kwa post za Sports In Bongo katika ukurasa wetu wa Facebook na kupelekea kufanya udadisi niwapi kwenye tatizo na hivi leo kubaini kuwa zimezuiliwa links za Sports In Bongo (aboodmsuni.blogspot.com). Kutokana na hilo timu ya Aboodmsuni Network itaanza kulifanyia kazi hilo siku ya jumatatu na nimatumaini yetu tutarejea kama kawaida ndani Facebook. Tunaomba mtuwie radhi kwa usumbufu unaojitokeza. Imetolewa na Abdallah H.I Sulayman 'Aboodmsuni' Msimamizi wa Blog za Aboodmsuni Network na Mmiliki wa Aboodmsuni Network
Saturday, September 29, 2012
Sports In Bongo yazuiwa fb

No comments:
Post a Comment