Na Dan Chibo, Facebook: "UCHIZI WA MAISHA NA MAMBO YAKE KUMI" 1. Unachokihitaji hukipati (MAPENZI) 2. Unachokipata hukifurahii (NDOA) 3. Kinachofurahisha hakidumu (BOY/GIRL FIREND) 4. Kinachodumu kinakera (MUME/MKE) 5. Chenye thamani kinadhalilisha (FEDHA) 6. Kinachodhalilisha kinapendwa (ZINAA) 7. Kinachoogopwa hakina maandalizi (KIFO) 8. Kinachoandaliwa hakiendelei (UHAI) 9. Vya kuzingatiwa havizingatiwi (QUR'AN & BIBLIA) 10. Vinavyofuatwa havina maana (SIASA) Kwa nini inakuwa hivi? Hebbu tujiulize na Chukua Hatua...!
No comments:
Post a Comment