Aboodmsuni anawatakiwa waislamu sikukuu njema ya eidil fitri, vile vile anawakumbusha waislamu wote kwamba, Mtume (s.a.w) anasema mtu anae muasi Allah (s.w) katika siku hii ya leo siku ya ied ni sawa na kumuasi Allah (s.w) kwenye viwanja vya hukumu (siku ya kiyama).
0 comments